Loading...

Shuhudia Alichokifanya JANA Mwigizaji Jackline Wolper atangaza kuhama CHADEMA na kijiunga na CCM

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

HIZI ZILIKUPITA: Sentensi Tano NZITO za Yusuph Makamba Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM

Leo July 23 2016  Mjini Dodoma unafanyika mkutano mkuu maalum wa CCM ambao ajenda yake kubwa ni ya kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa mwenyekiti wa tano wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’. Baada ya hotuba ya Mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete, katibu mkuu mstaafu Yusuph Makamba alipata nafasi ya kuzungumza na kusema haya……

'Askofu Gwajima alisema uongo kwamba Jakaya Kikwete hakutaka kumpisha Magufuli kuwa mwenyekiti' - Yusufu Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinatoka mikononi mwa kada anayekataa ufisadi kiasi cha kumtosa rafiki yake Lowassa'- Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinakwenda mikononi mwa muasisi wa Mahakama ya mafisadi'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Wapinzani nataka mjue JK alikuwa anawabatiza kwa maji huyu ajaye atawabatiza kwa moto'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Rais Magufuli hakukataa ushauri alikataa vimemo kikiwemo cha kwangu, kuna mtu nilikuwa nampigia debe awe DC'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM

Mrema Atoa Mpya 'Nawashangaa Wapinzani Mnavyozira Ovyo, Kwetu Anayezira no Mwanamke, Wanaume Gani Nyie?'

Mrema Afunguka:
"Tarehe 16 Saa mbili asubuhi nilipigiwa simu na Rais Magufuli akanambia anataka kunipa kazi sikuamini, wala Mimi sikukataa kataa kama nikasema na iwe utakavyo Rais, Mbatia na wenzake walinichangia kama Mpira wa kona mwaka Jana, nashangaa wapinzani mnavyozira ovyo!! Kule kwetu Vunjo anayezira ni Mwanamke, nyie mnakimbia yule mama Bungeni ni Wanaume gani Nyie??" Mrema

#MkutanoWaCCMDodoma kumpata mwenyekiti.

BREAKING! Koffi Olomide Arrested at Citizen TV Studios for allegedly assaulting dancer

Congolese Rhumba maestro Koffi Olomide aka Mopao Mokonzi has been arrested outside Citizen TV Studios for allegedly assaulting one of his female dancers at JKIA.
 Koffi who had just had just finished an interview with Lilian Muli, was headed for his Hotel when a contingent of Kenya police officers apprehended him and took him to JKIA police station where he will spend a night.
BREAKING! Koffi Olomide Arrested at Citizen TV Studios for allegedly assaulting dancer
During the interview, Koffi denied kicking the girl and instead said that he was defending his dancers from a pick-pocket.
“I was having an interview when I heard big noise behind me. I decided to go and check what was happening, only to realize the girls crying that someone was trying to pick-pocket them” Said Koffi.
“I realized that it was one of my former dancers who was causing trouble and I and I tried to stop her” He said.
Inspector General of police ordered the arrest of the musician following the public outcry in social media.
Older Posts
© Copyright BAKI NASI | Designed By BAKI NASI
Back To Top