Loading...

TUKIO LAKUSIKITISHA: CHUO KIKUU UDMS (DUCE) HAPATOSHI WANAFUNZI WACHOMANA VISU NA KUPIGANA CHUPA

 
Ni wanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu UDSM college ya DUCE kilichopo Chang'ombe
Jamaa aliyefahamika kwa jina la Jimmy alimfumania mpenzi wake jina Leah (wanachuo wote) na mwanaume mwingine nyumbani kwa mwanamke baada ya hapo Jimmy akawa mpole na akarudi kwake then yule mwanamke akamfuata huko kwake kwa lengo la kuomba msamaha na ndipo jamaa akamchoma kisu cha tumbo na kumpiga na chupa kichwani.

Hadi sasa mwanamke yuko hospitali ya Temeke hoi na jamaa yake sasa yuko Chang'ombe kituo cha Polisi.

Jamani mapenzi yapo na wanawake ni wengi zaidi tupende kwa akili sio moyo huyu jamaa atajuta sana kwa uamuzi wake wa kukurupuka.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright BAKI NASI | Designed By BAKI NASI
Back To Top