Hili tukio la leo halijawahi kutokea Tanzania Yussuf Makamba ameamua kutumbua Jipu zito ndani ya mkutano mkubwa wa ccm. Makamba aamua kumtumbua Gwajima na Lowassa bila kujali sifa ya mtu. Amsifu sana Rais mstaafu JK kwa kazi yake nzuri ya kumtupilia mbali rafiki yake kipenzi Lowassa na kusimamia misingi ya chama. Uongo wa Gwajima leo wawekwa hadharani. Kauli ile isemayo Yussuf makamba kuwa ni mwamba kwa CCM imethihirika leo kwa kumtumbua Gwajima na Lowassa ndani ya Ukumbi wa mkutano wa CCM muda huu
Post a Comment