Taarifa za mauaji wilaya kiteto Mkoa Manyara binti knobs ajulikanae kwa
jina la Eva aliyekuwa akifanya kazi Pccb (Takukuru) ameuawa na mtu
asiyefahamika nyumbani kwake na Kulawitiwa na kisha Kuuwawa. upelelezi
bado unaendelea na Mshukiwa mmoja mikononi mwa polisi kwa upelelezi
zaidi. M/mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin...
Thursday, July 21, 2016
Post a Comment