Loading...

BREAKING NEWS: Mbunge Professor Jay Kiboko Aachia Nyimbo Mpya iitwayo KAZI KAZI, Ujumbe huu ni Mzito Mnoo

Ni July 27, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay kwa kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.

Unaweza ukabonyeza HAPA Kuudownload kisha sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

MAPENZI: Mrembo Tunda Afunguka Kumwagana na Mwanamuziki Young D

MUUZA nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi.

Akipiga stori na Showbiz Xtra baada ya kumbananisha kuhusiana na tetesi za uhusiano wake kuvunjika kutokana Young D kubaini anatoka na mwanamuziki mwenziye (jina kapuni) ndipo akaeleza kuwa, ishu hiyo haina ukweli ila ameachana na mwandani wake huyo kwa sababu ambazo hawezi kuzianika kwa sasa.

“Hayo ya kutoka na huyo msanii si kweli na kuhusu Young D nimeshaachana, sifikirii kuwa na msanii yeyote na sihitaji mpenzi kwa sasa,” alisema.

HABARI YA KUSIKITISHA: ZARI THE BOSS WA DIAMOND KWISHA KAZI NA YEYE YAMKUTA MAZITO

IMG_20160728_044116IMG_20160728_044218
Older Posts
© Copyright BAKI NASI | Designed By BAKI NASI
Back To Top